ENTERTAINMENT

Matokeo kidato cha sita 2022/2023 – NECTA ACSEE Tazama hapa

Matokeo kidato cha sita 2022/2023 - NECTA ACSEE Tazama hapa

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.

RELATED: Ratiba ya Mtihani wa kidato cha nne 2022 – Form Four CSEE Exam time table

Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana.

Matokeo kidato cha sita 2022 haya hapa

“Watahiniwa 93,136, sawa na asilimia 98.97 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 52, 229 sawa na asilimia 98. 55 na wavulana waliofaulu ni 52, 229 sawa na asilimia 98.55.

Now students of Tanzania can check their Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) Results 2022/2023 online. Check below step by step guide to get the NECTA ACSEE Results 2022 online.

  • Step 1 : visit www.necta.go.tz
  • Step 2 : Click on “Results” from the Main menu.
  • Step 3 : The “Results” window will show all results available.
  • Step 6: Select “Exam Type” as ACSEE.
  • Step 5: Select your “Year” as 2022
  • Step 6: Students can now check their ACSEE result.
  • Students can save and take print of their result for future reference.

Note- Students can also click on the links provided above to check their NECTA ACSEE Results 2022/2023.

Also check more tracks from Zuchu;

Matokeo kidato cha sita 2022/2023 – NECTA ACSEE Tazama hapa

Leave a Comment