ENTERTAINMENT

PICHA: Mashabiki Walivyopandisha Picha za Harmonize na Kajala Juu ya Mlima Kilimanjaro

PICHA: Mashabiki Walivyopandisha Picha za Harmonize na Kajala Juu ya Mlima Kilimanjaro

Penzi la Harmonize na Kajala limeonyesha kuwakosha baadhi ya mashabiki wao ambao wamechukua uamuzi wa kwenda kuzitundika baadhi ya picha za ‘Couple’ hiyo maarufu walizopiga wakati wakivishana pete.

Kajala amepost kupitia instastory picha za mashabiki hao waliopanda mlima kilimajaro na kisha kuweka bango la picha zao linaloashiria kuwapongeza.

Leave a Comment