ENTERTAINMENT

Alichoandika Harmonize Kwenye Birthday Ya Kajala..

hayawi hayawi ,leo yamekuwa.Leo tarehe 22 July ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mwanadada maarufu na mwigizaji Frida Kajala ambaye ni mchumba wa superstar Harmonize.

Wawili hao ,Harmonize na Kajala wamekuwa wakisubiria siku hii kwa hamu na wamekuwa wakisherekea siku hii kwa takribani wiki nzima ambapo walianzia huko Qatar ambapo Harmonize alienda kwenye onesho na kusindikizwa na Kajala kama meneja wake.

Baada ya kutua Bongo wawili hao wakaenda kujichimbia huko mbugani serengeti kusherekea Birthday ya mrembo huyo anayeichanganya akili ya Harmonize.Katika kusherekea birthday ya mchumba ake Harmonize ameweka video ya show yake akiwa Qatar ambapo aliwaomba wahuhuriadhiaji wa onesho hilo kumwimbia kheri ya kuzaliwa mpenzi wake huyo.

Katika post hiyo Harmonize aliisinikiza na maneno ya mahaba akisema, “FINALLY IT’S HERE .!!! HAPPY BIRTHDAY MY LOVE GOD BLESS YOU THANKS FOR LOVING ME & INSPIRE ME OYAAA MENGI SANAA SITOMALIZA ILA WE JUWA TU UNAPENDWA NA MÙUNI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
” ambapo kajala alikuja na ku comment kwenye post hiyo “Verified
It’s fun we started celebrating my birthday Toka last week ? your the best Nakupenda sana ??❤️❤️❤️❤️❤️”.

Leave a Comment