CITIMUZIK TV

VIDEO: Mimi Mars adai hawezi kutoka na Marioo hata iweje, ataja sababu zifuatazo

VIDEO Mimi Mars adai hawezi kutoka na Marioo hata iweje, ataja sababu zifuatazo

Mwimbaji maarufu wa muziki wa bongo fleva nchini, Mimi Mars amekanusha taarifa zinasombaa mtandaoni kwamba anatoka kimapenzi na msanii mwenzake kwenye tasnia hiyo Marioo.

RELATED: Mimi Mars – La La Ft Marioo (Prod. Gachi B)

Mimi Mars aliyakweka hayo wazi kwenye mahojiano yake na waandisha wa habari wakati anazindua wimbo wake aliomshirikisha mwimbaji huyo aliyejitwalia tuzo nyingi ikiweomo ya msanii bora wa bongo fleva kwa mwaka huu.

Tazama zaidi hapa chini.

VIDEO Mimi Mars adai hawezi kutoka na Marioo hata iweje, ataja sababu zifuatazo

Also, check more tracks from Marioo;

Leave a Comment