CITIMUZIK TV

VIDEO: Bila Mange Kimambi Nisingekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu Afunguka

VIDEO Bila Mange Kimambi Nisingekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu Afunguka

Siku ya leo pale maeneo ya Slip Way, supastaa Wema Sepetu alikuwa na mkutano na waandishi wa habari na lengo kutambulisha ubalozi wake mpya katika kampuni ya Kodtech.

RELATED: Alikiba – Tupendane (Prod. Man Water)

Lakini moja ya maswali aliolizwa na waandishi wa habari, ni kuhusiana na sakata la yeye na Mange Kimambi.

Wema na mange wamewahi kuonyeshana mahaba makubwa sana kwenye mitandao kipindi cha nyuma, tofauti na kipindi cha sasa.. Ambapo mange amekuwa akimlipua sana wema ,esp.

Tazama VIDEO HAPA CHINI KUPATA STORY YOTE.

VIDEO: Bila Mange Kimambi Nisingekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu Afunguka

Also, check more tracks from Alikiba;

Leave a Comment