ENTERTAINMENT

Picha za utupu za Harmonize na Kajala zazua gumzo

Picha za utupu za Harmonize na Kajala zazua gumzo

Masaa matatu yaliyopita Harmonize amepost picha hizi ili kuthibitisha kwamba Hivi sasa yeye na Kajala ni mwendo wa kunanii tu kama zamani.

RELATED: Harmonize – Deka Ft Mabantu (Prod. Sign Beat)

Picha hizo za nusu utupu wa wawili hao zimezua hisia kubwa kwa Watanzania ambapo wengi wameomba Harmonize apokonywe Simu asije akaharibu mambo zaidi.

Harmonize ni kijana mwenye Uchu na Kiki hivyo tukikaa vibaya tu anaweza akatuletea mambo ya Mwijaku na Menina.

Hivi aliyepiga picha hizi ni Jabulant au? Inamaana mpiga Picha ameona utupu wa juu wa Kajala au, maana hapo hajavaa kitu nadhani mnaona kwenye Kioo hapo mgongo haujavalishwa nguo.

Ndio mastar wetu hawa, Muziki umewashinda wameamua Wahamie Upande wa pili sijui wanataka wasajiliwe kule Brazzers, Bang Bros, Red Tube wakaungane na mwenzao mandingo.

Also, check more tracks from Harmonize;

Leave a Comment