Kamusi hii ya Kiswahili-Kiingereza ina historia ndefu. Wazo la kutunga kamusi hii ilianzishwa mwaka 1964 na Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili (ambacho kuanzia mwaka 1972 kilijulikana kama Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili).
RELATED: Top 10 African countries with the largest gold reserves
Wazo hili lilibuniwa wakati wa enzi ya Profesa Wilfred H. Whitely, ambaye wakati huo alikuwa ndiye Mkurugenzi wa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili, ikiwa ni miaka 25 baada ya kuchapishwa kwa kamusi ya Johnson ijulikanayo kama Standard Swahili-English Dictionary (1939).
Kazi ya utunzi wa kamusi mpya ilianza baada ya shirika lijulikanalo kama Calouste Gulbenkian Foundation kutoa msaada wa pesa kwa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 1964.
Download Tuki kamusi ya Swahili- English Dictionary PDF
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
- Rayvanny – Woza Ft. Diamond Platnumz (Prod. Trone)
- Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Bado Sana (Prod. Mr LG)
- Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Shusha
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)