Chris Kaiga Ft Tezzla – ZIMENICE LYRICS
Eeh, eeh, eeh
Eeh, eeh, eeh
Eeh, eeh, eeh
Sikosi uradi
Nipate nimechill na kabinti
Form ni mingi hadi anashangaa na sisi
Kila siku ya wiki, date tipsy
Na nikiget doh,
Na blow out all on the whiskey
Jack D, Jemmy, now blame it on Henny
We started out slow, nilikuaje mlevi?
*ish too crazy, kukumbuka siwezi
Nlijiget tu home juu ya bed nimebleki
Si masoo ni mangiree(zimenice)
Dem mmoja wawile (zimenice)
Na ma Tusker ma Pile(zimenice)
Mara ya kwanza ya pile(zimenice)
Si masoo ni mangiree(zimenice)
Dem mmoja wawile (zimenice)
Na ma Tusker ma Pile(zimenice)
Mara ya kwanza ya pile(zimenice)
Zimenice, zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Nipe beat, nipe mike roho itesi kalamu
Huu muziki ndio kazi naufanya kwa hamu
Ju nateka mahali kama Boko Haramu
Ikijipa basi nitawandalia karamu
Bash mara that that
Tunakuja chap chap
Tunakuja na gode
Tei mpaka tap tap
Ati? Shawty wants to take a snap
Ashatoa top, ashanikalia lap
Sikiza hii
Si masoo ni mangiree(zimenice)
Dem mmoja wawile (zimenice)
Na ma Tusker ma Pile(zimenice)
Mara ya kwanza ya pile(zimenice)
Si masoo ni mangiree(zimenice)
Dem mmoja wawile (zimenice)
Na ma Tusker ma Pile(zimenice)
Mara ya kwanza ya pile(zimenice)
Zimenice, zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Me!, nimechill inadi bar
Ju watu huko mbele wako maji kama tap
Na kesho niko waks
But venye zimenice, itabidi nimeflash mdosi
Aki call back aki ya nani siokoti
Niko kando ya woofer na kelele ya mbogi
Kama ni ngori basi kesi baadae
Woah niko cloud 9, na wasee niko high
Si masoo ni mangiree(zimenice)
Dem mmoja wawile (zimenice)
Na ma Tusker ma Pile(zimenice)
Mara ya kwanza ya pile(zimenice)
Si masoo ni mangiree(zimenice)
Dem mmoja wawile (zimenice)
Na ma Tusker ma Pile(zimenice)
Mara ya kwanza ya pile(zimenice)
Zimenice, zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Zimenice, zimenice zangu zimenice!
Eeh, eeh, eeh
Eeh, eeh, eeh
Eeh, eeh, eeh
Also, check more tracks from Nyashinski;