Mbosso – Watakubali LYRICS
Maaaaaaaa aaaah ah!
Uh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh
Mhh, maaaaaaaa aaaah ah
Uh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh woh
Asalala Mungu kaninyima upole
Hali yangu majalala, mwali nliekosa mkole
Terminal Mbagala, ofisi ya kila ndole
Nawakalisha mafala, wajinga wakuja Bongo
Wageni wa Dar es Salaam
Vipi nitakidhi mahitaji yako, yangu yananishinda
Hali mbaya sina godoro
Na vipi kuhusu wazazi wako, kielimu mimi mjinga
Japo mapenzi hayanaga kasoro
Kama una kumbukumbu, hata baba yako nilishawahi kumkaba
Alilia kwa uchungu na mama yako, nilipompola zaga
Je! Watakubali?
Hivi unadhani (watakubali?)
Wazazi wako (watakubali?)
Me nawe hatulingani (watakubali?)
Hadhi yangu na yako (watakubali?)
Hivi unadhani (watakubali?)
Waaaa aaah…! (watakubali?)
Shida mama shida (watakubali?)
Aaaaah ah!
Najua watamani tuoane
Miguu yangu kutwa iko busy eeh!
Sitaki ubaki mjane
Kula kwangu hadi nikimbizwe eeh!
Niendapo barabarani
Usinisubiri nikikwambia ngoja
Maana si kazi ila vitani
Kufa ni tendo la mara moja
Muda mwingine shati begani
Pekupeku utadhani nimerogwa
Mguu nje mguu ndani
Defender inakubeba kama mzoga
Raha ya mapenzi ushemeji kucheka
Dada na majirani
Na nishafanya kote manjegeka
Hawanipendi mtaani
Vipi nitakidhi mahitaji yako, yangu yananishinda
Hali mbaya sina godoro
Na vipi kuhusu wazazi wako, kielimu mimi mjinga
Japo mapenzi hayanaga kasoro
Kama una kumbukumbu, hata baba yako nilishawahi kumkaba
Alilia kwa uchungu na mama yako, nilipompola zaga
Je! Watakubali?
Hivi unadhani (watakubali?)
Wazazi wako (watakubali?)
Me nawe hatulingani (watakubali?)
Hadhi yangu na yako (watakubali?)
Hivi unadhani (watakubali?)
Waaaa aaah…! (watakubali?)
Shida mama shida (watakubali?)
Aaaaah ah!
Nkuonge kisimu cha camera (naanzaje!)
Na kila rusha roho madera (naanzaje!)
Eeeeh!
Saloon uwende kila week (naanzaje!)
Weekend twende kwa miziki (naanzaje!)
Naaaaanzaje?
Also, check more tracks from Mbosso;