LYRICS

Maua Sama Ft Alikiba – Nioneshe LYRICS

Maua Sama Ft Alikiba – Nioneshe LYRICS

DOWNLOAD MP3

Maua Sama Ft Alikiba – Nioneshe LYRICS

Ukinigusa nyang’ang’anya mwenzako sijiwezi
Mi kipofu napapasa juu yako
Nahisi hakuna amani nisipokuona nyumbani
Moyo unajawa tafarani
Kuchi kuchi chumbani haziishi
Kichwani hasa pale ukiwa mbali nami
Chochea kuni kwa kishindo jiko lako ni mimi
Unipe joto joto mpenzi kwenye baridi
Nitang’ang’ana nawe nitabaki nawe
Sitokuacha mpweke hey
Shika nishikilie usiniache mimi
Chunga wasiniteke hey

BRIDGE
Honey mi kwako nazima taa
Nitafune unavyotaka,
Kiuno sindimba chakacha
Serebuka unavyotaka heyy

CHORUS
Nioneshe (ooh aaah)
Niweke (Eeeh)
Tepetepe (Please show me)
Nioneshe (Oooh girl)
Niweke (Aaah)
Tepetepe (mwendo ule ule)

VERSE 2
I like the way i touch your body
I like the way i touch your body maaa
I like the way I touch your body
(Oooh Noo/Oooh Noo me love)

Sina kauli kwako
I don’t know what to say
Utundu wako, unauweza show
Kiukweli unanijali mpaka unaiota oooh me love
I like the way i touch your body
I like the way i touch your body maaa
I like the way I touch your body
(Oooh Noo/Oooh Noo me love)

BRIDGE
Honey mi kwako nazima taa
Nitafune unavyotaka,
Kiuno sindimba chakacha
Serebuka unavyotaka heyy

CHORUS
Nioneshe (ooh aaah) Niweke (Eeeh)
Tepetepe (Please show me)
Nioneshe (Oooh girl) Niweke (Aaah)
Tepetepe (mwendo ule ule)

Also, check more tracks from Alikiba;

Leave a Comment