Jux – Simuachi LYRICS
Intro
Uuuuuuuuh
Yeeeeeeiyeeeeee
Verse 1
Nina kila sababu, Ya kuwa na yeye.
Kwake kichanga nabembelezwa na yeye.
wake ustaarabu, Nini nipewee.
Maana muda mrefu nimekuwa mwenyewe.
Sasa mapema, narudi nyumbani, Vitu navikuta mezani.
Silisili vya mtaani, mwenzenu.
Kwa sasa,
Mawe nipigeni, Maneno nisemeni.
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi. (Simuachi)
Mawe nipigeni, (Na mniue) Maneno nisemeni.(Na ridhika)
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi.
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooh
Ooooooooooooh x 2
Verse 2
Wa nini, Ung’adung’adu kufukuza mende.
Ya nini, Kuwa waruwaru nikuumize uende.
Kwa nini, Niwe wa kuchovyachovya nikauingia mkenge.
Niamini, Nawe usije ukapata bichwa ukaota mapembe.
Sababu we ni mzuri, Umepitiliza.
Penzi lako, Mi linaniliza.
Kwa sasa,
Mawe nipigeni, (Nipigeni) Maneno nisemeni.
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi. (Simuachi)
Mawe nipigeni, (Na mniue) Maneno nisemeni (Eyeeeeee)
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi.
Oooooooooh
Oooooooooh
Also, check more tracks from Jux;