Prominent Ugandan gospel recording singer artist, and songwriter, Abiud Misholi is back with a new gospel hit song tagged, NIMECHOKA UNILINDE.
RELATED: Abiud Misholi – Lini Utapita Kwangu
QUOTABLE LYRICS
Nimechoka kabisa
Macho yangu mazito
Macho yako baba angu
Yanilinde usiku
Niliyokukosea
Mungu niagizie
Damu ya yesu kristo
Inioshe kabisa
Ndugu zangu ee mungu
Uwalinde usiku
Wakubwa kwa wadogo
Wote walale raha
Wenye shida tuliza
Uwafute machozi
Uwaponye wote
Waumwao usiku huu
Listen to, “Abiudi Misholi – nimechoka unilinde” below;
AUDIO Abiudi Misholi – nimechoka unilinde MP3 DOWNLOAD
Also, check more tracks from Goodluck Gozbert;
Injiri ni uhai