KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA M-PESA
- Piga *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
- Chagua namba 1 (Namba ya Malipo)
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha
RELATED: Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za kimorocco (+Video)
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA TIGO-PESA
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipa Bili)
- Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA AIRTEL MONEY
- Piga *150*60#
- Chagua namba 4 (Lipa Bili)
- Chagua namba 3 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka namba ya siri
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA HALOPESA
- Piga *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipa Bili)
- Chagua namba 7 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha
KULIPA KWA BENKI ZA NBC, CRDB NA NMB
- Jaza Fomu
- Rudisha Fomu kwa Muhudumu wa Benki
- Utapewa Stakabadhi ya Malipo