Anjella – Shulala LYRICS
Mi la la la la la
Oooooh ooooh
Uuuh yeeeeeeeh
Si haba moyo umepata kipozeo
Sas mambo yote ng\’ari ng\’ari
Ng\’ari ng\’ari ng\’ara
Eeh mahaba yamezidi matokeo
Amekaza zote nari nari nari nari nara
Mh iwe kisu kiwembe mapanga manjenje
Ila kwako sichomoki
Umenichomoa pembe nimeacha mawange umenioasha kwa dodoki
Nikikuita baby boo unaniita sweety mapenzi ya karafuu kutafuna vijiti
Yani penzi lako ni full kiyoyozi shula la la la shula
Hey shula la
Shula la la la shula
Acha nilinge niwaringishie
Shula la la shula
Tuwaonyeshe ma love tuwavimbie
Shula la la la shula shuuu
I like kumbato
Hey sio vita haya ni mapenzi nashindwa kufurukuta yani sijiwezi
Kwenye haya mapenzi kuna vingi viunzi maumivu kwa ganzi vyote kwako nimetulia baby
Iwe kwa kisu kiwembe mapanga manjenje
Ila kwako sichomoki
Umenichomoa pembe nimeacha mawange umenioasha kwa dodoki
Nikikuita baby boo unaniita sweety mapenzi ya karafuu kutafuna vijiti
Yani penzi lako ni full kiyoyozi
Shula la la la shula
Hey shula la shula la la la shula
Acha nilinge niwaringishie
Shula la la la shula
Tuwaonyeshe ma love tuwavimbie
Shula la la la shula
Shuuuu
I like kumbato
Anjella konde music world wide
Na big boy
Also, check more tracks from Harmonize;