Msanii wa Filamu za Bongo na Mjasiriamali, Rose Alphonce maarufu kama Muna Love, aijutia surgery aliyoifanya adai kuwa kuna vitu vingi anapitia na hivyo kuwaomba watu wasifanye.
RELATED: Zuchu afunguka kitakachotokea siku ya wapendanao pale Mlimani City
“Achananeni Na Surgery, Msifanye Ntakuja Kuwaeleza Vitu Vingi Nnavyopitia, Nampenda Sana Yesu” – Muna Love
Hii yote ni baada ya kufanya surgery (Upasuaji) mwaka jana, surgery ya dimpoz na umbile na sasa kupelekea kupitia wakati mgumu baada ya surgery hiyo.
Also, check more tracks from Zuchu;
- Zuchu – Tanzania Ya Sasa (Prod. Lizer)
- Zuchu – Raha (Prod. Lizer)
- Zuchu – Kwaru
- Zuchu Ft Khadija Kopa – MAUZAUZA
- WCB Wasafi – Jibebe Ft Diamond Platnumz, Lava Lava & Mbosso
- Krizbeatz – Proper Ft. Diamond Platnumz & Tekno
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)
- Zuchu Ft Mbosso – Ashua