Alikiba – Amour LYRICS
(Yeah, Yogo on the beats)
Kusema nitaleta we si uongo
Siwezi
Arobaini umeshanikamata basi tena
Aah aaah
Mwendo wa taratibu kama jongo, oh baby
Unanikosha sina zaidi la kusema aah
Na kama kunipenda uzidishe, zidi zidishe
Na tulivyo wa bad, tuwatishe tishe tiii
Kama mila za kwenu nifuatishe, fuati fuatishe
Uchumba unoge nikuhalalishe, lishe
Amour, amour amour amour
Amour, tarira tarara tarira
Amour, amour amour amour
Amour, talala lala aah
Kazuri kazuri katoto
Damu bado changa wamoto
Sauti nyororo akinicall
Hallo, halooo
Hata mngeekwa kulwa na doto
Ningekuchagua we my love
Haya ni mawazo ama ndoto
Kuwa nawe, kuwa nawe
Na kama kunipenda uzidishe, zidi zidishe
Na tulivyo wa bad, tuwatishe tishe tiii
Kama mila za kwenu nifuatishe, fuati fuatishe
Uchumba unoge nikuhalalishe, lishe
Amour, amour amour amour
Amour, tarira tarara tarira
Amour, amour amour amour
Amour, talala lala aah
Also, check more tracks from Alikiba;