Kulingana na orodha hiyo, Binti Consolata Prosper Luguva wa St. Francis Mbeya ameshika nafasi ya kwanza akifuatiwa na Butoi Ernest Kangaza wa St. Francis.
RELATED: Matokeo Kidato Cha Nne – Form Four Results 2021/2022
Wanafunzi 10 bora kidato cha nne 2021/2022
1. Consolata Prosper Luguva – St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza – St. Francis
3. Wllhemia Steven – St. Francis
4. Cronel John – St Francis
5. Merry George Ngoso – St Francis
6. Holly Beda Lyimo – Bright Future Girls
7. Brandina – St. Francis
8. Imamu Suleiman – Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili – Ilboru
10. Clara Straton – St. Francis