Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihaani wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021.
RELATED: Shule 10 bora zaidi kwenye matokeo kidato cha nne 2021/2022
Shule 10 bora zaidi kwenye matokeo kidato cha Pili 2021/2022
Shule 10 bora kwenye upimaji wa form two kupitia matokeo yaliyotangazwa leo January 15 2022.
- St Francis Girls – Mkoa wa Mbeya
- Kemebos – Kagera
- Graiyaki – Mara
- Canossa – Dar es salaam
- Tengeru Boys – Arusha
- St. Monica Moshono Girls – Arusha
- St. Augustine Tagaste – Dar es salaam
- Centennial Christian – Pwani
- Bethel sabs Girls – Iringa
- Bright Future Girls – Dar es salaam.