ENTERTAINMENT

Shule 10 bora zaidi kwenye matokeo kidato cha nne 2021/2022

Shule 10 bora zaidi kwenye matokeo kidato cha nne 2021/2022

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihaani wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021.

RELATED: Matokeo Kidato Cha Nne 2021/2022 Tazama hapa

Shule 10 bora zaidi kwenye matokeo kidato cha nne 2021/2022

  1. Kemebos – Mkoa wa Kagera
  2. St. Francis – Mbeya
  3. Waja Boys – Geita
  4. Bright Future Girls
  5. Bethel Sabs Girls – Iringa
  6. Maua Seminary – Kilimanjaro
  7. Feza Boys – Dsm
  8. Precious Blood – Arusha
  9. Feza Girls – Dsm
  10. Mzumbe Secondary – Morogoro.

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Leave a Comment