LYRICS

Marioo – Inatosha LYRICS

Marioo - Inatosha LYRICS

DOWNLOAD MP3

Marioo – Inatosha LYRICS

Hata kama penzi maji masafi niacheni nanawa
Maana yamenifikaaa, Yamenifika hapaaa
Ingawa ntakondaaa, Nimeridhia sawaa
Maana kila dakikaaa, Huwa kilioniiiii
Kukikucha macho juu, Nakesha kulilia penzi eeeh
Kama kinda alokosa mama eeh, Mamayee
Afu shida sio heshima tuuu, hata wanaomuingia wengi eeh
Mwenzenu kupenda nshakata tamaa eeeh, Tamaa eeeh

We iache ikabaki kuwa historiaaa, Japo sio kiroho safi
Na ya nini kung’ang’ania biasharaaa, tena yenye hasaraa
Na wala sisemi nitakuchukia, Japo moooyoo hautaki
Na ya nini kung’ang’ana ng’anang’ana….. Iiiiiih

Inatosha….. Inatosha
Inatosha….. Inatosha

Ni kwamba moyo mashine, Nina imani utapoa
Hii hali sio ya kudumu, Nina imani utapoa
Ni kwamba tumeumbwa kusahau, Nina imani ntasahau
Hii hali sio ya kudumu, Ntakusahau
Kama kukupinga si ilishindikana, Sawa sina chaguo
Maana Japo itanisumbua sumbua, Itaniumbua umbua
Muchanga kwenye kitumbua tumbua, Kwenye kitumbua tumbua

We acha ikabaki kuwa historiaaa, Japo sio kiroho safi
Na ya nini kung’ang’ania biasharaaa, tena yenye hasaraa
Na wala sisemi nitakuchukia, Japo moooyoo hautaki
Na ya nini kung’ang’ana ng’anang’ana…… Iiiiih

Inatosha… Eeeh Acha nipambane na hali yanguu
Inatosha… Ahaa Mapresha kupanda kushuka basiii
Inatosha…. Mmhh Utaniua Eheee
Inatosha… Aah Mmmh Utaniua mwenzako mie, Inatosha

Boom Boom… And the good work has been done by the people

Also, check more tracks from Marioo;

Leave a Comment