Dully Sykes Ft Harmonize – Kadamshi LYRICS
Konde boy
Aaah noo this is serious
The godem killer prince dullysykes brodamen
Handsome tude
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang′ata matamshi
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang’ata matamshi
Singida Dodoma (mamamama)
Mtwara na Kigoma (mamamama)
Singida Dodoma (mamamama)
Mtwara na Kigoma (mamamama)
Pande za nyumbani wanajuaga
Babe ni nani akipita anatingisha
Wangu toka zamani kanzu tobo
Kama zidane chenga nyingi nitafungisha
Kanawaka gizani nakapakata mpaka
Mezani kotekote napigisha
Baby whatagwan katoto ketu
Kako njiani uhakika miezi Tisa
Woookey,
Ohoahe Wakiniita buzi
Nichune tena ringa kidogo
Ohoahe wapiga miruzi wanune
Ongeza mbwembwe mikogo
Ohoahe Wakiniita buzi
Nichune tena ringa kidogo
Ohoahe wapiga miruzi wanune
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang′ata matamshi
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang’ata matamshi
Singida Dodoma (mamamama)
Mtwara na Kigoma (mamamama)
Singida Dodoma (mamamama)
Mtwara na Kigoma (mamamama)
Smart girl,
Nyuka upendeze vunja kabati ayayee
Inuka na ucheze wakuone wachat ayayee
Lala kifuani baby deka
Usikie moyo wangu vile unavyotweta
Nikikupa mambo Fulani unacheka
Kasauti ka chumbani unabweka
Lala kifuani baby deka
Usikie moyo wangu vile unavyotweta
Nikikupa mambo Fulani unacheka
Kasauti ka chumbani unabweka
So let me say,
Ohoahe Wakiniita buzi
Nichune tena ringa kidogo
Ohoahe wapiga miruzi wanune
Ongeza mbwembwe mikogo
Ohoahe Wakiniita buzi
Nichune tena ringa kidogo
Ohoahe wapiga miruzi wanune
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang’ata matamshi
Kamependeza kupitiliza
Wanasemaga kadamshi
Akicheza ananimaliza
Hadi nang′ata matamshi
Singida Dodoma (mamamama)
Mtwara na Kigoma (mamamama)
Singida Dodoma (mamamama)
Mtwara na Kigoma (mamamama)
Oh my God its better son
Also, check more tracks from Harmonize;