Diamond apewa ulinzi mkali nchini Nigeria Lagos
Msanii tajika katika kanda la Afrika Mashariki Diamond Platnumz amezuru nchi ya Nigeria, Lagos ambapo alionekana akiwa amepewa ulinzi mkali achia mbali ulinzi marais wa Afrika upewa.
RELATED: The Ben – Why Ft Diamond Platnumz
Kupitia ukurasa wake wa insta story ameweka video ambayo anaonekana akitoka kwa gari lake huku walinzi wake wakiwa tayari kumpokea.
Diamond alikuwa pamoja na msanii wa lebo yake ya Wasafi record Mbosso huku wafuasi wake wakitabiri kuwa wanangoja kibao kipya kutokana na safari hiyo.
Diamond ambaye pia anamiliki kituo cha habarini nchini Tanzania amekuwa akizuru nchi tofauti tofauti kwa minajili ya kazi yake ya muziki.
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
- Rayvanny – Woza Ft. Diamond Platnumz (Prod. Trone)
- Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Bado Sana (Prod. Mr LG)
- Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Shusha
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P