LYRICS

Joel Lwaga – Mimi ni Wajuu LYRICS

Joel Lwaga – Mimi ni Wajuu LYRICS

DOWNLOAD MP3

Joel Lwaga – Mimi ni Wajuu LYRICS

Kuna wakati wa giza (There are times of darkness)
Mbele sioni, najiuliza (I cannot see ahead, I ask myself)
“Mbona kama hizi shida (“Why do these problems)
Zimekawia kuisha?” (Have no end?”)
Katikati ya maswali (In the midst of my questions)
Nasikia sauti ndani (I hear an inner voice)
Imebeba ujasiri (With boldness)
Ikiniita, kanikiri (Calling me to declare)
Nikisema (To say)

Refrain:
Mimi ni wa juu (I belong on High)
Mimi ni wa juu (I am above)
Mimi ni wa juu (I belong on High)
Juu sana (Highly above)

Sitafsiriwi kwa haya (I am not defined by these)
Macho zina magumu (The eyes see trouble)
Mimi ni mshindi tu (I am a conqueror)
Kamusi ndiye Mungu (God is the translator/defines me)
Haijalishi ni giza (No matter the darkness)
Ye ni nuru yangu (He is my Light)
Nitashinda hivi (I shall win this way)
Na yote yatapita (And all shall pass away)

Tasimama tena! (I shall stand again)
Tainuka tena! (I will rise again)
Mimi ni wa juu tu! (For I belong on high)
Mimi ni wa juu tu! (I belong on High) (Repeat)

(Refrain)

Repeat: Refrain
Ni wa juu sana (I belong on high)
Juu zaidi ya mawingu (High above the cloudds)
NImeketishwa juu sana (I have been seated on high)
Kwenye milele tu (Where forever is)
Nawaza yaliyo juu (I think heavenly thoughts)

Nawaza Yaliyo (Juu) (I think heavenly thoughts)
Nawaza Yaliyo (Juu) (I think heavenly thoughts)
Nawaza Yaliyo (Juu) (I think heavenly thoughts)
Juu sana (High above) (Repeat)

Repeat: Refrain
Haijalishi mazingira (No matter the circumstances)
NInapitia nini (Whatever I’m going through)
Yote yatapita (All shall pass away)
Mimi nitashinda tu (I shall be victorious)

Sitafsiriwi kwa haya (I am not defined by these)
Macho zina magumu(The eyes see trouble)
Mimi ni mshindi tu(I am a conqueror)

Also, check more tracks from Zabron Singers;

Leave a Comment