LYRICS

Diamond Platnumz – Unachezaje LYRICS

Diamond Platnumz – Unachezaje LYRICS

DOWNLOAD MP3

Diamond Platnumz – Unachezaje LYRICS

Zombie iyo

Mfukoni nina jiti (?) Mkononi K-Vant
Nasikia kumekiki wapi, nije kujimwaga kati
Oh haitoshi kalitaka zima vapa kaletewa
Oh My gosh sasa kazima anataka kupepewa
Oh haitoshi kalitaka zima vapa kaletewa
Oh My gosh sasa kazima anataka kupepewa

Nionyeshe unachezaji, unachezaje,
Unachezaje, Kwani unachezaje,
Unachezaje, Unachezaje
Nionyeshe unachezaji, unachezaje,
Unachezaje, Kwani unachezaje,
Unachezaje, Unachezaje

Mbili kwa mbili, four, four, pale pale
Dawa ya show, show na isilale
Okay peleka vuta, pole pole sio kwa pupa
Ebo devera shusha hapo mbele kwenye tuta
Huu ni mti gani wa mchongoma
Ukiukata haukatiki
Sii mtu gani, Wamchongoma
Ukitukata haukatiki

Waonyeshe unachezaji, unachezaje,
Unachezaje, Unachezaje,
Kwani unachezaje, Unachezaje,
Waonyeshe unachezaji, unachezaje,
Unachezaje, Unachezaje,
Kwani unachezaje, Unachezaje,

Pompo lipo lipopo pompo lipola
Pompo lipo lipopo pompo lipola
Pompo lipo lipopo pompo lipola
Pompo lipo lipopo pompo lipola

Waambie chombo, kinapepea
Eeh chombo kinapepea
Haga chombo kinapepea
Kile chombo kinapepea

Ngoja kwanza ……

Huo Mnazi, unakatika
Mnazi, unakatika
Jama Mnazi, unakatika
Ona Mnazi, unakatika
Ukitaka kukatika
Ukatika kati, kati, kati kaa

Huo mjumba, unabomoka
Mjumba, unabomoka
Mama Mjumba, unabomoka
Ona Mjumba, unabomoka
Ukitaka kubomoka
Bomo, bomo bomo booo

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Leave a Comment