Popular Congolese gospel recording artist best known for his song “Moyo Wangu” which has over 26 Million views on YouTube, Patrick Kubuya is here with another powerful joint tagged Yesu ni wimbo wangu.
RELATED: Patrick Kubuya – Moyo wangu
Kuna nyakati Mungu ana tu tendea mema na kinywani mwetu ana weka wimbo mupya, hiyo ili fikia wana israeli walipo vuka bahari ya shamu.Na wewe nina omba Mungu akupe wimbo mupya katika jina la Yesu
QUOTABLE LYRICS
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu
Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu
Listen to “Patrick Kubuya – Yesu ni wimbo wangu” below;
AUDIO Patrick Kubuya – Yesu ni wimbo wangu MP3 DOWNLOAD
Also, check more tracks from Zabron Singers;