Veteran gospel musician from Tanzania, Bahati Bukuku came through with a brand new song titled Umewazidi Wote.
RELATED: Bahati Bukuku – Nataka Kufanana na Yesu
In addition, Bahati Bukuku is celebrated across the continent for her inspiring gospel tunes. The veteran singer has been tight-lipped on her personal life, and not much is known on her date of birth or the place.
QUOTABLE LYRICS
Maneno yao umeyasikia
Maneno yao umeyasikia
Eti wanasema hivi nilivyo si hazi yako
Eti wanasema kukupata wewe mimi sio hazi yako
Eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo
Maneno yao umeyasikia maneno yao
Eti wanasema mimi si fanani kuwa na nyumba hiyo
Eti wanasema mimi nilivyo si hazi yako
Listen to “Bahati Bukuku – Umewazidi Wote” below;
AUDIO Bahati Bukuku – Umewazidi Wote MP3 DOWNLOAD
Also, check more tracks from Zabron Singers;
Safi nimeupenda ukurasa huu kila ktu kinapatikana Kuna nyimbo nilikua nazitafuta nimeziona Asante
Huu ukurasa uko vizuri haisumbui kufionza nyimbo kutoka kwenye mtandao hongereni sana.
Naupenda view juu ukurasa napakua nyimbo chapu
Hakika na enjoy kila kitu kipo on fire 🔥🔥
Nimefurahia sana wimbo huu! Kila sauti na kutoka kwa Bahati Bukuku inabeba hisia nzuri. Asante citiMuzik kwa kutuwezesha kupakua!