Mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo yake King’s Music records na lebo aliyokuwa akiifanyia kazi Rockstar4000, ambayo alikuwa miongoni mwa wamiliki wa lebo hiyo, Alikiba ameachia wimbo mpya “Hainogi”
RELATED: Alikiba – Bwana Mdogo Ft Patoranking
Katika wimbo huo wameenda bega kwa bega na msanii mwenzake wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya King’s Music ambaye pia ni mdogo wake, Abdukiba.
Wimbo mpya wa Alikaba – Hainogi Ft Abdukiba DOWNLOAD
Also, check more tracks from Alikiba;