I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want. – Philippians 4:12.
RELATED: Christina Shusho – Wa Kuabudiwa
Nilipita kwenye nyakati za furaha, nilipita kwenye nyakati za kupendwa, kufanikiwa, kuwa na vingi ila kuna nyakati nilipita kwenye nyakati za giza nene.
Nyakati za kukataliwa, kukosa, lakini katika kila HALI Mungu alinifundisha kuwa yeye bado atabaki kuwa ni MUNGU tena ndio CHANZO cha UHAI wangu na atabaki kuwa Mungu wa kuabudiwa.
Ni maombi yangu Mungu akamrudishe kila mmoja wetu kwenye kiini/CHANZO halisi cha UHAI wetu hata kama tutapitia nyakati ngumu kiasi gani ila tubaki kumpenda,kumuishia na kumuabudu daima maana yeye ni Mungu wa nyakati zote.
VIDEO Rehema Simfukwe – Chanzo MP4 DOWNLOAD
Also, check more tracks from Christina Shusho;