LYRICS

Rayvanny – Natafuta Kiki LYRICS

Rayvanny – Natafuta Kiki LYRICS

DOWNLOAD MP3

Rayvanny – Natafuta Kiki LYRICS

Wasafi Records

Nataka nitoke kwenye gazeti
Niuze sura
Niseme ninatoka na Jokate
Kitandani kwisha na Feza Kessy
Ama Snura
Nilete matata mpaka kwa Grace

Kwenye redio zote, mpaka runinga
Nitangaze kwa kuvimba
Kwamba Lulu anayangu mimba
Au niwatukane wote wanaoimba
Kwa dharau na kuvimba
Mpaka yule anajiita Simba!

Niseme madam Ritha katetema
Akiniona anashindwa hata kuhema
Au Vanessa kanena
Ananitaka na Jux atatemwa
Nataka nifanye sinema
Kwa alozaa na Ney Siwema
Kiki ipi iko njema
Au niende kwa Sepetu Wema

Ati ntokeje
Mwenzenu ntokeje
Ati ntokeje
Mwenzenu ntokeje

Nasikia Uwoya mkali wanasemaga Shishi asali
Wolper atakubali akimwage ki Harmo chali
Ninatafakari kichwani maswali
Nimtongoze Zari akijua Mondi si hatari

Ee hee Rose Ndauka Kajala pia hadi na Salama
Mose Iyaba asijeninua kwa Aunty lawama
Mkubwa Fella Tale Salami leaders
Nizushe pesa wamenipiga
Chege na Madee wasije nikwida
Iyowee!
Nataka nibadili ratiba kwangu isije leta msiba
Nitoke Wasafi niende kwa Kiba
Yah!

Ati ntokeje
Mwenzenu ntokeje
Ati ntokeje
Mwenzenu ntokeje

Nataka nifanye masekere
Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere
Yaani Bongo nzima makelele

Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere
Iih Nikinukishe kinoma noma

Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere
Iih Macho kuvimba wataisoma

Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere (Sekere)
Sekere oh sekere (he!)
Ta ntira rara
Ayo Lizer!

Also, check more tracks from Rayvanny;

Leave a Comment