LYRICS

Florence Mureithi – Kweli Wewe ni Mungu LYRICS

Florence Mureithi – Kweli Wewe ni Mungu LYRICS

DOWNLOAD MP3

Florence Mureithi – Kweli Wewe ni Mungu LYRICS

(Vizazi hadi Vizazi, Vya kufahamu wewe
Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo
Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe
Umetukuka umeinuliwa ewe bwana)x2

Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni mungu

(Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe
Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu
Uumbaji wako waonyesha hekima yako wewe
Watukuzwa kati ya mataifa milele bwana) x2

Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni mungu

(Sifa zako zi kinywani mwangu
Kwa jinsi ulivyo wewe
Kwa kusanyiko la watu wako, nikuinue mungu wangu
Nionyeshe heshima zako,
Malangoni mwako wewe
Nakutukuza nakuinua ewe bwana)x2

Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni mungu

Also, check more tracks from Evelyn Wanjiru;

Leave a Comment