LYRICS

Lava Lava – Inatosha LYRICS

Lava Lava – Inatosha LYRICS

STREAM/DOWNLOAD MP3

Lava Lava – Inatosha LYRICS

Akinipenda mama inatosha
Akinipenda baba inatosha
Akinipenda mama inatosha
Akinipenda baba inatosha eh eh

Mwanzo nilikuwa sijui
Nilihadithiwa na mababu
Mwanzo nilikuwa sijui mapenzi
Niliyasoma kwa vitabu

Sasa nimekuwa nimejua mapenzi uchizi
Yule unayempenda ndo anakunyima usingizi
Kwake moyo unautua bila ikipingamizi
Na kesho anakuzingua mapenzi ya siku hizi

Unatuma message mchana anajibu usiku
Unatuma message usiku anajibu mchana
Unatuma message mchana anajibu usiku
Mapenzi unamwona online anachat
Na kukujibu hataki
Anaposti yuko kwa party na marafiki

Sasa niko single naenjoy
Niko single naenjoy
Mwenzenu niko single naenjoy
Bora niko single naenjoy

Nikitaka kwenda kibeach
Naenda naparty mpaka asubuhi
Afu siulizwi ooh
Naenda naparty mpaka asubuhi

Nikitaka kwenda tipsy
Naenda naparty mpaka asubuhi
Element samaki samaki
Naenda naparty mpaka asubuhi

Juliana Liquidi oooh
Ooh shobo (Ricardo Momo)
Sitaki Shobo (Don Fumbwe)
Ooh shobo (Msalimie mkubwa Fela na babu Tale)
Sitaki Shobo na mapenzi (Don Mendez mahela)

Sitaki Shobo na mapenzi
Bora kila mtu kivyake
Mwenzenu mi siwezi naona bora niache
Yasije nitokea puani

Mkingombana kidogo kammiss ex wake
Na wanachat na kuview status zake
Wakumbushie zamani naa..
Makopa kopa wanatumiani
Emoji za makopa eti kucommentiana
Makopa kopa wanatumiani
Emoji za makopa eti kucommentiana

Ukiniona nacheza mziki usidhani nina mawazo
Jamani kuwa single raha
Ukiona navuta shisha usidhani nina mastress
Wala na enjoy raha

Ukiniona nakunywa Hennessy usije dhani nina msongo
Jamani usingle raha
Ukiniona nangonga KVANT usije kanihamada
Jamani kuwa single raha, niacheni mwenzenu

Sasa niko single naenjoy
Niko single naenjoy
Mwenzenu niko single naenjoy
Bora niko single naenjoy

Nikitaka kwenda Dubai
Naenda naparty mpaka asubuhi
Kitambaa cheupe kwetu pazuzi ooh
Naenda naparty mpaka asubuhi

Ka unapepeta msondo ngoma
Naenda naparty mpaka asubuhi
Sio fute fute la jasho
Naenda naparty mpaka asubuhi
Uhuru picky, party pointy
Jangwani sea breeze, the baze tucheze wote

Komboa komboa saga, saga kisigino
Komboa komboa saga, isagie kwa juu
Komboa komboa saga, sagia kwa chini chini
Ah ah ah, saa hivi inatakiwa tusage viuno jamani

Aya twende, komboa komboa saga
Shikilia dera
Komboa komboa saga
Zungusha acha kumwera
Komboa komboa saga
Kata tutunze mahela
Akinipenda mama inatosha

(Kwa Mix Lizer)

Also, check more tracks from Lava Lava;

Leave a Comment