Nandy – Yuda LYRICS
(Kimambo on the Beat)
Nimemyosha wangu Yuda
Vyake vitamu najipakulia
Kungwi nimefundo
Wake ma ex ndo wanaumia
Walisema limevunda
Sasa jikoni ndo linanukia
Ye ndo wangu kiti
Tena hachoki nikimkalia
Na tena siku hizi nanenepa nanawiri
Yamenoga mapenzi na yameshamiri
Anipa vidogo na vikubwa tamu sio shubiri
Nyumbani kumenoga huniponza mwili
Ananilete chumbani, nikoleze wangu hunnie
Tunacheza kibaba mama, kibaba mama
Wakienda vitani sisi tuko nyumbani
Aniteach inama, inama inama
Naziwaume roho zao
Naziwaume roho zao
Naziwaume roho zao
Naziwaume roho zao
Kanipa sikio ananisikiliza
Malumbano ndani hana
Nimepitisha fagio na hawezi kuniliza
Mashindano ndani hana
Nimefundishwa na mama, kumlea bwana
Akitakaga nyama, nampaga na tena
Ananilete chumbani, nikoleze wangu hunnie
Tunacheza kibaba mama, kibaba mama
Wakienda vitani sisi tuko nyumbani
Aniteach inama, inama inama
Naziwaume roho zao
Naziwaume roho zao
Naziwaume roho zao
Naziwaume roho zao
Also, check more tracks from Nandy;