Mbosso – Mtaalam LYRICS
Unakila sababu ya kusimama kimasomaso
Mungu kweli wa ajabu kanionesha kwa yangu macho
Chukuwa zangu dhawabu mi nibaki na dhambi
Unishikishe adabu mida ya kulala nitoke jasho
Mi sijui kupigna mwili wangu wa mapensi dear
Tusipende kupigana mi mwepesi kulialia
Si kujibanana raha ya pensi kujiachia
Wako maututi mama, nime kufa nimejifia ee
Nalambishwa asali, kwenye mzinga wa nyuki
Tamu ni hatar
Nalambishwa asali, nachezeshwa muziki
Niko chalichali
Nimempata, nimempata mtaalamau
Nimempata, nimempata mtaalamau
Nimempata, nimempata mtaalamau
Nimempata, nimempata mtaalamau
Nimempata
Mi Mtanzania wa halali, ila chembechembe za India
Mungu kaninyima ufahar, ila kwa huba najisifia
Sitakuhonga magari, ila mahaba utasanzia
Penzi kachumbari kwa ugali, na pilipili ya kushagia (aah eeh)
Nikuite nani, majina yote nishamaliza (aah eeh)
Wangu wa hubani, umeweza kunituliza (aah eeh)
Mambo ya chumbani, yani nalala huku napulizwa (aah eeh)
Penzi ziito tanii, napewa raha kupitiliza eeeeh
Nalambishwa asali, kwenye mzinga wa nyuki
Tamu ni hatari
Nalambishwa asali, nachezeshwa muziki
Niko chalichali
Nimempata (Nimempata, nimempata mtaalamau)
Nimempata (Nimempata, nimempata mtaalamau)
Mtaalamu wa penzi (Nimempata, nimempata mtaalamau)
Fundi wa mafundi (Nimempata, nimempata mtaalamau)
Also, check more tracks from Mbosso;