Diamond Platnumz – Samia Suluhu LYRICS
Tanzania ya mama samia, ina ng’ara ng’ara
Tanzania ya mama samia, ina ng’ara ng’ara
Tanzania ya Suluhu Hassan mama, yameremeta
Tanzania ya mama samia, ina ng’ara ng’ara
Ah mumemuona mama, mama e mama
Oh RAIS wetu jamaa, mama e mama
Amiri jeshi mkuu, mama e mama
Anayependwa na wengi, mama e mama
Ameimarisha urafiki, kimataifa
Wawekezaji sa nchini, kwetu wanafika
Demokrasia siasa ya kuridhisha
Biashara oona zinauzika
Aise nampenda Samia
Uonevu hataki Samia
Mikopo elimu kaweka safi, Samia
Mashule kwa zahanati, Samia
Kapinga zile kodi zote zisohalali
Vina uhuru sasa, vyombo vya habari
Zote kesi za uonevu, kafutilia mbali
Kapunguza faini za boda boda
Sasa mambo shwari
Tanzania ya mama samia, ina ng’ara ng’ara
Tanzania ya mama samia, ina ng’ara ng’ara
Tanzania ya Suluhu Hassan mama, Inafuraha o
Tanzania ya mama samia, ina ng’ara ng’ara
Ah mumemuona mama, mama e mama
Oh RAIS wetu jamaa, mama e mama
Jemedari wetu, mama e mama
Mtetezi wa wanyonge, mama e mama
Iyena iyena, Iyena iyena, Iyena iyena
Rais samia number one
Iyena iyena, Iyena iyena, Iyena iyena
Rais samia number one
Ooo Iyena iyena, Iyena iyena, Iyena iyena
Suluhu Hassan number one
Iyena iyena, oh Samia mama
Iyena iyena, Super woman
Iyena iyena, Rais Samia number one
Ah mumemuona mama, mama e mama
Oh RAIS wetu jamaa, mama e mama
Eh mwanamke wa shoka, mama e mama
Oh mchapa kazi, mama e mama
Amechukua, ameweka, waah
Eh Vituo vya afya
Amechukua, ameweka, waah
Fly over ndege mpya
Amechukua, ameweka, waah
Barabar vijijini
Amechukua, ameweka, waah
Shangwe na vigeregere na vigeregere na vigeregere
Shangwe na vigeregere na vigeregere na vigeregere
Tanzania na isonge mbele, na isonge mbele

Na kazi, iendele, kazi iendele
Twende pamoja, na kazi iendele
Pamoja, na kazi iendele
Na kazi iendele
Madaktari, na kazi iendele
Wamachinga, na kazi iendele
Na boda boda, na kazi iendele
Walimu yo
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
- Rayvanny – Woza Ft. Diamond Platnumz (Prod. Trone)
- Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Bado Sana (Prod. Mr LG)
- Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Shusha
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)