LYRICS

Bahati – Wewe Ni Mungu LYRICS

Bahati – Wewe Ni Mungu LYRICS

GET AUDIO HERE

Bahati – Wewe Ni Mungu LYRICS

Wewe ni Mungu, Mungu wa sisi sote
Huruma rehema zako zipo tu popote
Una majina mengi
Wewe ni Mungu wa wengi

Mungu wa milimani, Mungu wa tabarare
Mungu wa kanisani, Mungu wa Msikitini
Mungu wa milimani, Mungu wa tabarare
Mungu wa kanisani, ninaye mwamini mimi

Wewe ni Mungu, Mungu wa sisi sote
Huruma rehema zako zipo tu popote
Wewe ni Mungu, unatupenda sote
Wewe ni baba, wewe ni shama kote

Ukanipa name, ukanipa love
Ukanipa fame, ukanipa wife
Ukanipa favour, na hii ni time
Your blessings is all I got Father

Ukanipa name, ukanipa love, ukanipa fame
Na beautiful wife
Ukanipa haters wanipe psyc
Thank you

Nimerudi na wimbo acha nikuimbie baba
Ukiona napotea nirudie baba

Wewe ni Mungu, Mungu wa sisi sote
Huruma rehema zako zipo tu popote
Wewe ni Mungu, unatupenda sote
Wewe ni baba, wewe ni Shammah kote

Eyy eh eh (Sote)
Eyy eh eh (Sote)

Wewe ni Mungu, Mungu wa sisi sote
Huruma rehema zako zipo tu popote
Wewe ni Mungu, unatupenda sote
Wewe ni baba, wewe ni Shammah kote

Wewe ni Mungu, Mungu wa sisi sote
Huruma rehema zako zipo tu popote
Wewe ni Mungu, unatupenda sote
Wewe ni baba, wewe ni Shammah kote

Also check more tracks from Bahati;

Leave a Comment