LYRICS

Zinoleesky Ft Harmonize – Kilofeshe Remix LYRICS

Zinoleesky Ft Harmonize – Kilofeshe Remix LYRICS

DOWNLOAD MP3

Zinoleesky Ft Harmonize – Kilofeshe Remix LYRICS

Raha ya kunywa pombe
Zishuka hapo kwa chini
Usiombe ukashika baby
Uikute ipo mwezini

We dada unafungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umefungwa
Hainaga macho, haionagi mbele
Unaweza ikuta Igunga

Ukaikuta Igunga huko
Yani imeteleza hadi Igunga Huko
Ukaikuta Igunga huko
Olalaa ee

Asa Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe

Fanya kama unaba miguu
Aya Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Isijefika kwenye kichuguu
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Olalaa

We in the club all night
Many things I don try
Omo boy don high
Gas me up no time, no time
Oh wow, I’m trendin’ and I don’t know why, oh why
Oni so’kuso
Talo sope omo yen o m’orin ko?
Oni so’kuso

If you get machete, moni ibon
But k’emi sha ti lowo
K’emi ba le na’wo
I wan get, I don’t know
Life is Yolo
You don’t know tomorrow
Oh-oh-oh

Extraordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again
Extraordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again, again no-no

We dada unafungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umefungwa
Hainaga macho, haionagi mbele
Unaweza ikuta Igunga

Ukaikuta Igunga huko
Yani imeteleza hadi Igunga Huko
Ukaikuta Igunga huko
Olalaa ee

Asa Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe

Fanya kama unaba miguu
Aya Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Isijefika kwenye kichuguu
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Olalaa

Also, check more tracks from Harmonize;

Leave a Comment