LYRICS

Mbosso – Hodari LYRICS

Mbosso – Hodari LYRICS

DOWNLOAD MP3

Mbosso – Hodari LYRICS

Lalala lalala la la la…
Lala la la la…
Shombe shombe
Mtoto laini laini
Anawaka waka
Wanga wape vidonge
Nimebaini baini
Wana tapa tapa

Mi nawe mpaka kiama
Tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama
Na wasimame wima

Kamwe hawatopata mwanya
Habithi fitina
Wapike mabilinganya
Si tutoke dinner
Nalegea
Ukintazama yako macho
Yako macho
Nalegea
Ikigusana yangu na yako
Yangu na yako

Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi

Kwa michezo ya chumbani, hodari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani, hodari
Hodari wa mapenzi

Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Nisakata makiriri
Kuniwasha ka pilipili
Fundi haswa amekithiri
Kunipa nilewe

Kwasa kwasa ndani bingiri
Za kukata saga kachiri
Nani haswa unafikiri
Kama si wewe

Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga)
Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)
Nipitishe boda la uko tutakutane (Tanga)
Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka

Wema Sepetu hodari
Hodari wa mapenzi
Uwoya hodari
Hodari wa mapenzi
Mama Cookie hodari
Hodari wa mapenzi
Mama Dangote, hodari

Hodari wa mapenzi
Jack Wolper, hodari
Hodari wa mapenzi
Zari Mama Tiffah, hodari
Hodari wa mapenzi
Esma Khan, hodari
Hodari wa mapenzi
Elizabeth Michael, hodari
Hodari wa mapenzi

Also, check more tracks from Mbosso;

1 Comment

Leave a Comment