Lava Lava – Nikomeshe LYRICS
Nimekuweka Wallpaper,
Tangu tumeachana
Video zote nimeziweka,
Kumbukumbu tukidekezana
Mmmh baadhi ya picha nimeifadhi kwa Laptop
Simu ikileta shida, shidaa, shidaa
Ka-Memory kwenyewe kana virus
Na wezi wenyewe wasije wakaibaa
Nilisema siku unfollow insta wala kukublock
Kumbe nafanya kazi ya kanisa, Presha najipa stroku
Nilihisi utabarika kumbe fikra zangu potofu
Nampa kiziwi speaker, kioo nampa kipofu
Wewe unainjoy, ninabaki mjinga demwaa
Kisa kwako sikohoi ndo kila siku masinema
Au kisu sinoi sijui kulenga midema
Nitoe na roho basi enjoy, nife unizike tu mapemaa
Nikomeshe, Malipo duniani yote nimapito
Nikomeshe, Kila lenye mwanzo halikoshi mwisho
Nikomeshe, Ujue kila mtiani una suruhisho
Nikomeshe, We nione hamnazo fungu langu lipo
Mmmh kinachoniumiza yeye ndiyo yangu dawa
Akinitubu napona
Ona kanimimina santaiza kaninawa
Utadhani Corona
Moyo wangu kwake niliugawa, nikampa yeye mbona
Kapeperuka kama anamabawa, kaniacha nasonona
Sonona sono, Penzi kalikatisha njiani
Sonona sono, Mwambieni japo awe na imani
Sonona sono, Mi mwenzake nitapendwa na nani
Sonona sono,
FULL LYRICS COMING SOON