Otile Brown – Jeraha LYRICS Ft Jovial
Kunguru ata kalishwa nyumbani ato kaa
Katili huna nafsi huna huruma
Ata kwa ushaidi Macho nilifumba
Sikuaka kuamini Niliogopa itaniuma
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za muda mfupi
Penzi baharini umelitosa
Kawekeza muda mwingi
kumbe bure najichosha
Iweje wewe tuliojenga kwa juhudi umeboa
Zile ndoto na juhudi za kufunga ndoa
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Wajua wakati mwingine najiuliza
Au pengine haya mapenzi yanawenyewe
Ama pengine mimi ndio sina bahati
Au pengine tu wangu ndio ajazaliwa
Maana kila ninapojitweka imani
Kila ninapoanza safari ya mapenzi
Meli inapong’oa nanga tu
Inageuka feri mtongwe
DAMN! SIAMINI!
After all we have been through
How you sacrific so mucb for so little
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za muda mfupi
Penzi baharini umelitosa
Kawekeza muda mwingi
kumbe bure najichosha
Iweje wewe tuliojenga kwa juhudi umeboa
Zile ndoto na juhudi za kufunga ndoa
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Also check more tracks from Otile Brown;
The best song ever cool n deadly keep it up
The bridge is wrong. It is supposed to be “zile ndoto na mipango ya kufunga ndoa” not “Zile ndoto na juhudi za kufunga ndoa” Check your lyrics.