ENTERTAINMENT SONGS

Wimbo mpya wa Zuchu – Sukari

Wimbo mpya wa Zuchu Sukari Download Mp3

Tanzanian fast-rising artist and WCB Wasafi Records Diva, Zuchu is back with a brand new LOVE song tagged Sukari.

Staa wa muziki wa BongoFleva Zuchu kutoka WCB Wasafi ameuanza mwaka 2021 na ‘SUKARI’

SUKARI ni ngoma mpya kutoka kwa Zuchu ambayo imeachiwa rasmi Leo Jumatano (Januari 20, 2021), na Hii inakuwa kazi ya kwanza kutoka kwa Mrembo huyo tangu mwaka 2021 uanze.

RELATED: Harmonize – Anajikosha (Prod. Daxo Chali)

Akihojiwa katika ya kipindi cha Mgahawa @wasafifm siku ya leo Zuchu amedokeza kuwa Mwezi April mwaka huu anatarajia kuachia Mini Documentary ambayo itaelezea kuhusu Maisha yake na harakati zake zote tangu anaanza muziki hadi kuwa staa.

“Mwezi wa nne nitaachia Mini Documentary yangu ambayo watu watafahamu nilipotoka mpaka hapa nilipofikia, harakati zangu zote”- Zuchu akizungumza ndani ya kipindi cha Mgahawa @wasafifm.

Wimbo mpya wa Zuchu Sukari Download Mp3

DOWNLOAD HAPA

Leave a Comment