Tanzanian recording artist and former Yamoto Band member currently signed under WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi better known as Mbosso, came through another single tagged Pakua.
Mbosso – Pakua LYRICS Ft Rayvanny
(S2kizzy baby)
Akaa, kana kiuno laini cha kucheza baikoko (koko)
Nikikaona natamani tu nichambe doko (doko)
Hallo tena tatu kwa mbili hapana si kimoko (moko)
Ah ah, chenga kwa mwili ka Kagere John Boko, chii
Ahaa, hallo, ohoo
Kanavyio ishege ishegetua (ishegetu)
Ahaa, kama kana pingili anavyoicheketua (cheketu)
Asaa letee letee (niiweke)
Oooh letee (niiweke)
Ilete mpaka chini (niiweke)
Unaogopa nini (niiweke)
Oh baby letee letee (niiweke)
Oh letee (niiweke)
Mpaka juu darini (niiweke)
Usio na kazi kazini
Pakua, oh paku pakua pakua
Uno la pochopocho asa pakua ehee he (pakua pakua)
Ka kisanvu cha kopo oya (pakua)
Oya pakuipakachua (pakua pakua)
(Pakua, pakua pakua)
(Vanny boy)
Mmmh,
Asa ile, iletete
Mtoto punguza mapepete acha kitee, kitetete
Nivunjevunje niwe kiwetete aeee
Oh, kiportable mtoto kapungua (sepetu)
Kipele kikiwasha sikuni nakakwarua
Mtoto kashika fimbo ya babu
Namshikisha adabu
Wasiotupenda twawapa tabu
Tunawaimbia taarabu (hawo)
Hawaaana hawana la kusema hawaana (hawaana)
Ayii hawaana la kusema hawaana
Asaa letee letee (niiweke)
Oooh letee (niiweke)
Ilete mpaka chini (niiweke)
Unaogopa nini (niiweke)
Oh baby letee letee (niiweke)
Oh letee (niiweke)
Mpaka juu darini (niiweke)
Usio na kazi kazini
Pakua, oh paku pakua pakua
Uno la pochopocho asa pakua ehee he (pakua pakua)
Ka kisanvu cha kopo oya (pakua)
Oya pakuipakachua (pakua pakua)
(Pakua, pakua pakua)
Oya baby, sisi ndege laachia sa
Funga mkanda
eeh baby, sweet, si kushoto kulia (Msongomsongo)
Jamani popo popo, amsha popo (amsha popo)
Nasema popo popo, leo popo (amsha popo)
(Kamix Lizer)