LYRICS

Mbosso – Karibu LYRICS Ft Diamond Platnumz

Mbosso - Karibu LYRICS Ft Diamond Platnumz

Tanzanian recording artist and former Yamoto Band member currently signed under WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi better known as Mbosso, came through another single tagged Karib, featuring Diamond Platnumz.

AUDIO HERE

Mbosso – Karibu LYRICS Ft Diamond Platnumz


Ishafika saba sasa
tunakungojea,
imebaki miezi miwili tuuu hebu siku sogea
tunashauku na bashashaa,
Ya kukupokea,
Sio mimi na mama yako tu na bibi anakuombea
Mmmmmhhhhhhhhh.

Imani yangu inanituma unanisikiaaa babab yoooooo(baba yooo yoooo)
Nafuraha yangu dongo kumung’unya anapobugia mama yoooo yoooo (mamaaa yoooooo yoooo)
Tayari ni wazi wazi kuwa muda ushatawakar
Natamani uiseme zawadi,,, ila acha ninunue vigari
oooohhh kuna shangazi kibiti ka Mzee kikari
Ukiota meno ataleta viazi ule mihogo uwe ngangari
ule mihogo uwe ngangari.

kwanza nitakupa jina ganiiiiiiii
(talalaaaa taalaaaaaalaaaa)
kwanza karibu Duniani baba
(talalaaa talaaaaaalaaa)
kwetu furaha isiyoo kifaniii
(talaalaaa talaaaaalaaaaa)
ila kuna mengi duniani baba
(talalaaa talaaaaalaaalaaa)

kwa furaha nilonayo ningechinja ng’ombe kwa Tambiko
ila baba yako uwezo sina pokea uji kwa kijikooo
pokea mwanaaanguu

Tena uwape na habari waropokaji wapambe
We ni wangu wa halali wasije dhani vya nyange
Dunia ni mafuriko, vua koa koti mwanadam mioyo ya matope
ukitukanwa mwiko usiogope jikaze mwana wa Dangote

Ooooohhhh wasimuoneeeee
(kimasomaso wasimuonee)
Wenye jicho la chuki wasimuone mwanangu
(kimasomaso wasimuone)
oooohhhhhhhh, wasiooneeeee
(kimasomaso wasimuone)
Wenye roho mbaya wasimuonee
(kimasomaso wasimuone)

Sa ringisha tumbooo ringaaaaa
aaah ma babay ringaaa
waonyesheeee ringaaaaa
wadolishieee ringaaa

Sa ringisha tumbooo ringaaaaa
aaah my babay ringaaa
waonyesheeee ringaaaaa
wadolishieee ringaaa

kwanza nitakupa jina ganiiiiiiii
(talalaaaa taalaaaaaalaaaa)
kwanza karibu Duniani babaaaa
(talalaaa talaaaaaalaaa)
kwetu furaha isiyoo kifaniii
(talaalaaa talaaaaalaaaaa)
ila kuna mengi duniani baba
(talalaaa talaaaaalaaalaaa)

Leo namneema mwananguuu
(aaayoooyooo my baby shower)
Rafiki kwa ndugu zanguuu..
aaayoooyooo my baby shower)

Furaha na uzazi wanguu
(aaayoooyooo my baby shower)
Naringaa ringa na mwananguuuu

(aaayoooyooo my baby shower)
(aaayoooyooo my baby shower)
(aaayoooyooo my baby shower)

Also check more tracks from Mbosso;

Leave a Comment