Tanzanian recording artist and former Yamoto Band member currently signed under WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi better known as Mbosso, came through another single tagged Kadada.
Mbosso – Kadada LYRICS Ft Darassa
(Wasafi)
Kadada Kamenona
Nyuma Kameumbwa Kameshona Eehh
Kadada Kamenona
(S2kizzy Baby)
Nyuma Kameumbwa Kameshona Eehh
Nataka Niimbe Na Wewe Leo Nisikilize kadada
Chonde Dededede Moyo Nitulizee (Kadada)
Kama ikiwa Ya Moto Nipe Nipulize (Kadada)
Mimi Bwegege Gege Kwako Nimalize (Kadada)
Eehh Akisema Afungue Duka Kadada
Weee Mbona Watu Wataacha Change
Utajikuta Unachoma Pesa Tu Baba
Watu Wanateleza Kizenji
Sura Ya Kisomali Shape Nyamanyama Telee
(Tele e)
Chachandu Kachumbali Namchomea Tetele
(Tele e)
Putururu Msonobali Namfungia Kwa Mbele
Kulia Na Rozali Kushoto Fundo La Ndele (Ndelee)
Adannaa Taratib Usinikimbize Basi
Adannaa Mi Mnyonge Sijazoea gasi
Mungu Kamuumba Kadada (Kadada)
Na Mungu Kazi Ya Kuumba Anaijua
Mungu Kamuumba Kadada (Kadada)
Na Sura Kama Jua Linatua
Mungu Kamuumba Kadada (Kadada)
Hereni Na Kipini Cha Pua
Mungu Kamuumba Kadada (Kadada)
Mmhh Amazing Amazing
Kadada Kamenona
Nyuma Kameumbwa Kameshona Eehh
Kadada Kamenona
Nyuma Kameumbwa Kameshona Eehh
Akibana Nywele Ama Akiziachia (Kadada Kadada)
Unalewa Bila Kunywa Akikuangalia (Kadada
Kadada)
Eh Anataka Kunipa Ajifanya Mchoyo
Anataka Kuniendesha Endesha Kitoyo
Navyo Tingisha Tingisha Yoyoyo
Ntakudatisha Datisha Nifollow
Kwa Kupendeza Kama Anakomoa
Ata Madem Wenzake Marks Wanatoa
Muone Ajapaka Makeup Kapoa
Sasa Usimkute Ameshajipodoa Podoa
Kingine Nampendea Mtu Wa Fashion Fashion
Mambo Flani Ya Kisasa
Subiri Uone Action Action
Akiinuka Akitembea Nyuma Kasakwasa
Sura Ya Kisomali Shape Nyamanyama Telee
Chachandu Kachumbali Namchomea Tetele
(Tele e)
Putururu Msonobali Na Mfungia Kwa Mbele
(Mbelee)
Kulia Na Rozali Kushoto Fundo La Ndele (Ndelee)
Adannaa Taratibu Usinikimbize Basi
Adannaa Mi Mnyonge Sijazoea Gasi
Mungu Kamuumba Kadada Kadada
Na Mungu Kazi Ya Kuumba Anaijua
Mungu Kamuumba Kadada Kadada
Na Sura Kama Jua Linatua
Mungu Kamuumba Kadada Kadada
Hereni Na Kipini Cha Pua
Mungu Kamuumba Kadada Kadada
Mmhh Amazing Amazing
Kadada Kamenona
Nyuma Kameumbwa Kameshona Eehh
Kadada Kamenona
Nyuma Kameumbwa Kameshona Eehh
Kingine Nampendea Mtu Wa Fashion Fashion
Mambo Flani Ya Kisasa
Subiri Uone Action Action
Aakiinuka Akitembea Nyuma Kwasakwasa
Kamix Laizer