Mama dangote Anadai Mzee Abdul sio baba halisi wa diamond, alikataa mimba na kutoa malezi, lakini diamond na watoto wake wanatumia jina lake (Abdul) kila sehemu
Haya mambo mazito ndugu zangu leo Mama Diamond amesema mzee Abduli sio baba ake dai ?? kwamba baba ake dai ni baba ake Ricardo Momo.
RELATED: Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide – Waah!
Mzee Abdul alimkuta Mama Dangote tayari ni mja mzito na mzee Abduli akaikataa mimba ???? na hakuitunza kabisa.
Kiufupi Mama Dangote kasema kwa kwinywa chake Mzee Abdul sio baba wa Diamond Baba wa Diamond ni baba wa Ricardo Momo