Kenyan Gospel Artist with a zeal for God, a wife, mother, worship leader, songwriter and Performing Artist, Kathy Praise is back with a beautiful worship song titled Usikiaye Maombi.
RELATED: Kathy Praise – MUNGU WA ISHARA
Kathy Praise – Usikiaye Maombi Lyrics
Yupo Mungu Mbinguni
Asikiaye maombi yetu
Yupo Mungu Mbinguni
Ayajibuye maombi yetu
Tunapoomba
Asikia anajibu
Tunapoomba
Asikia maombi yetu
Usikiaye maombi
Ujibuye kwa moto
Bwana u mwaminifu
Yupo Mungu Mbinguni
Asikiaye maombi yetu
Yupo Mungu Mbinguni
Ayajibuye maombi yetu
Tunapoomba
Asikia anajibu
Tunapoomba
Asikia maombi yetu
DOWNLOAD MP3 Kathy Praise – Usikiaye Maombi
Also, check more tracks from Christina Shusho;
nafarijika sana,jinsi alivyoimba,nabarikiwa Sana,upako unanijaa moyoni,naomba,nyimbo Kama hzi zisinipite, Mungu akubariki
Dadaangu Mungu akutsnguli
Fast and convenient.!
Najisikia fraha sana pongezi kwa kazi nzuri
Pongezi kwa wimbo bora uliopakwa.
Kweli yupo Mungu juu MBINGUNI anaejibu maombi. Amen Glory to God. Mungu azidi kufanikisha katika safari hii ya kumtumikia
Congratulations Kathy praise
Congratulations kazi mzuri sana
Dah cjw nixemeje mana huu wimb unanifarji xana hongera kwako kathy praise
I received
Kininapo kuwa katika wakati mgumu ninapo sikiliza gospel hii inanipa sana moyo na inanileta faraja