Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama “Jengua” amefariki dunia leo Desemba 15, Mkuranga mkoani Pwani baada ya kuugua kwa muda mrefu.
RELATED: VIDEO: SIRI 6 Ambazo WANAWAKE Hawawezi Kukuambia KAMWE
Kwa mujibu wa taarifa, Marehemu Jengua alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kupararaizi.