Wimbo huu ni moja ya nyimbo zilizopo katika Tolea la TANO la Kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu -BMM-Yombo Vituka-DSM.
Toleo hili la 5 ni toleo maalumu lenye mkusanyiko wa nyimbo za Kwaresma/maombolezo/toba.
RELATED: Mt. Bernadetha – Shusha Baraka
Composer & Organist: Steven Limila
Audio: Salvatorian Catholic Studio
Ahsante kwa huduma
mungu awabariki kwa huduma yenu
Mungu awabariki sana