ENTERTAINMENT

Sababu kuu 10 za uke kulegea na kuwa mkubwa

uke kulegea na kuwa mkubwa

Uke kulegea au kuwa mkubwa zaidi unaweza kutokea kutokana na sababu nyingi. Kumbuka pia kushiriki tendo la ndoa mara chache siyo suluhisho la kuwa na uke mdogo.

Isikupite hii: Dawa ya kubana UKE uwe MNATO wenye kuleta msisimko zaidi

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa kuwa na uke mkubwa na kushiriki tendo la ndoa mara nyingi.

Pia hakuna uhusiano wa umri na ukubwa wa uke. Wapo wamama watu wazima wana uke mdogo pia kuna wasichana wadogo kabisa wana uke mkubwa kupitiliza.

Kama ilivyo kwa uume kwamba wanaume wana uume wenye ukubwa tofauti tofauti kadharika wanawake nao kila mwanamke ana uke wa ukubwa tofauti tofauti tofauti.

Sababu kuu 10 za uke kulegea na kuwa mkubwa.

1. Kuzaa mara kwa mara

2. Uzito na unene uliozidi

3. Kujifungua kwa upasuaji

4. Kuinua vitu vizito mara kwa mara

5. Mazoezi mazito ya mara kwa mara

6. Misukosuko ya siku za nyuma katika nyonga

7. Ukomo wa hedhi

8. Maumivu sugu nyuma ya mgongo

Isikupite hii: Tambua ukubwa wa UKE au UUME wa mtu yoyote kwa kumtazama tu

9. Kupiga chafya au kikohozi mara kwa mara

10. Kufunga choo au kupata choo kigumu mara kwa mara

Leave a Comment