TANZANIA: Mrembo na malkia wa Bongo movie Bi. Wema Sepetu amepiga marufuku vyombo vya habari kutumia neno “Ex wa Diamond Platnumz” katika utambulisho wake.
Mara nyingi kwenye utambulisho wa Bi. Wema Sepetu katika Radio stations, Tv na kwenye vichwa vingi vya habari magazetini wamekuwa wakiandika “Ex wa Diamond Platnumz”, Wema Sepetu amefanya hiki au amefanya vile……… n.k” .
Zuchu – Hakuna Kulala | mp4 video Download
Mrembo huyo amekiijia juu chombo cha habari hapa Kenya baada ya kumtambulisha kama “Ex wa Diamond Platnumz” kwenye habari yao waliyokuwa wakiiripoti.
Kisha Bi. Wema Sepetu alijibu hivi kupitia account yake ya Instagram
”Halafu hizi mambo za kuniandika EX, EX mnikome please, I am the former miss TANZANIA and an award-winning actress, a beauty icon, an entrepreneur, who own an application that is currently doing so well. So please tuheshimiane, EX, EX kama hamuwezi andika bila kuweka ex dont write my stories” – Bi. Wema Sepetu