ENTERTAINMENT

Wagonjwa wa Corona Tanzania wafika 147, Baada ya wengine 53 kuongezeka Leo

TANZANIA: Idadi ya wagonjwa wa Corona Tanzania imeongezeka nakufikia 147 baada ya wagonjwa wapya 53 kukutwa na virusi hivyo .

Akiongea na vyombo vya habari leo Ijumaa April 17 2020, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wote hao ni watanzania ambapo 38 ni kutoka Dar es Salaam, 10 Zanzibar, Kilimanjaro 1, Mwanza 1, Pwani 1, Lindi 1, na Kagera 1.

Waziri Ummy amesema mgonjwa mmoja amefariki dunia na hivyo kufanya idadi ya waliofariki hadi sasa kufika 5 na waliopona ni 11

Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafika 147, Baada ya Wengine 53 Kuongezeka Leo

Source: ITV TANZANIA

Leave a Comment